-->

Saturday

Dereva Daraja La II – NAFASI 1


Published by Jobstanzania on 5:00:00 pm

Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya misungwi anawatangazia wananchi nafasi za kazi mbalimbali kama ifuatavyo;

Position:  Dereva Daraja La II – NAFASI 1

Sifa Za Mwombaji
Kuajiriwa wenye cheti cha mtihani wa kidato cha IV wenye leseni daraja C ya uendeshaji pamoja na uzoefu wa kuendesha magari kwa muda usiopungua miaka (3) bila kusababisha ajali, wenye cheti cha majaribio ya ufundi Daraja II

Masharti Ya Jumla
Awe raia wa Tanzania
Awe mwenye maadili mazuri
• Hajafukuzwa kazi
• Hajapunguzwa kazi
• Hajafungwa na kupatikana na kosa la jinai
• Awe tayari kufanya kazi eneo lolote Misungwi bila kuhama kwa kipindi cha miaka 5
• Barua ya maombi iambatanishwe na picha (2) za sasa passport size na vivuli (photocopy) vya vyeti vya elimu na Taaluma
• Andika namba ya simu ya mkononi katika barua ya maombi ili kurahisisha mawasiliano
Mwisho wa kupokea maombi ni 30/05/2015 saa 9:00 alasiri

HOW TO APPLY:
Maombi yote yatumwe kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi kwa anuani ifuatayo;

Mkurugenzi Mtendaji (W)
S.L.P 20
Misungwi

 Deadline: 30 May 2015


Share/Bookmark

 


Web Analytics