-->

Tuesday

Nafasi za Kazi - Servantrip Tanzania


Published by Jobstanzania on 1:24:00 pm

Servantrip, kampuni mpya kwenye sector ya Utalii Ulaya inayotoa huduma kuu kwa wanao safiri kwenye miji mikuu duniani kwa ajili ya utalii au kazi, inatoa nafasi ya kazi kwa madereva, tour guides, watafsiri na wanasheria Dar es Salaam kwa ajili ya kuhudumia wateja wetu wanao safiri kwenda Dar es Saalam.

Sifa kuu ni utaalamu wa kazi na uwezo wa kuongea lugha za kigeni kama kingereza, italiano, kijerumani, kifaransa, kispanish na kichina.
Kwa habari zaidi, tutumie contact zako kwa kujaza form hii (ndani ya dakika 3 tu):

Click here to Apply: -  http://servantrip.com/blog/sign-up/ 

na nasi tutawasiliana na wewe.


Share/Bookmark

 


Web Analytics