-->

Sunday

Data Clerk (8 Posts)


Published by Jobstanzania on 5:59:00 pm

NAFASI YA KAZI MTAKWIMU (DATA CLEARK) NAFASI 8 KARAGWE

Napenda kuwatangazia nafasi ya kazi kwa raia wote wa Tanzania mwenye sifa; wake kwa waume

MAJUKUMU YAKE
-          Kufuatilia na kukusanya takwimu kutoka vituo vya tiba
-          Kufanya uchambuzi wa takwimu
-          Kuunganisha taarifa
-          Kuandaa taarifa za mwezi, robo na mwaka
-          Kutunza vifaa utakavyokuwa umekabidhiwa
-          Kumsaidia mratibu wa UKIMWI NA KIFUA KIKUU

Ajira hii ni ya mkataba wa mwaka mmoja

JINSI YA KUOMBA
Barua ya maombi iambatanishwe na vitu vifuatavyo
-          Anuani unayotumia sasa, picha na namba za simu
-          CV (maelezo yanayojitosheleza)
-          Nakala za vivuli vya vyeti kilingana na matakwa ya  nafasi iliyoombwa
-          Nakala ya vyeti  vya kidato cha nne, na sita

Kwa walio katika mkataba tayari, barua za maombi zipitishwe na waajiri wasimamizi wa vituo vya kazi kwa sasa kwaajili ya kuhuisha mikataba yao

Barua zote zinadikwe kwa mkono/kuchapwa na kutumwa kwa

MKURUGENZI MTENDAJI,
HALMASHAURI YA WILAYA,
S.L.P. 20,
KARAGWE

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 22 November 2016


Share/Bookmark

 


Web Analytics